Karubu utulie like Post za shemwji zako tu Andjul achana naeNdo nimewafikia..... Finally
[emoji1] Duuuu kakukosea nini?Nikimkuta kichwa kichafu analiwa na simba itabidi nitafute namna ya kupata kachumbari ili ikibidi nimwagie watafune mpaka viatu vyake!
Fanya ujinga ili nikupate, Sina kinyongo na matumizi ya hela juu yakeNimesha sema wesi sikuhizi dhahabu
HahahahajUkimualika nialike na mimi utatuona zaidi ya hapo sahau
HahahahaKichwa kichafu nisaidie kumwambia ISIS kuna mtu anatangaza kumlove hila hiyo vita haitamwacha salama huyo mtu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wewe shangaa kuna kitu kinaitwa cocoshanel mtafuteHahahaaaa tatizo ratio ya me na ke 4:2 kwenye uzi huu, ndio maana twalumbana tu
Asante my dearKaribu my Queen
Avatar beautifulUniverse is composed of particles.Only focus is needed to break 'em up
Huyo mtani wangu sana humu ni mzee wa ikwiriri nimemkaribisha huku kibiti jana amekuja na kifaru.[emoji1] Duuuu kakukosea nini?
Yes madamISIS
Hahahaaa.....mambo ya Da Vinci yanachanganya sanaaDa Vinci Code
Post imebeba hisia kabisa ISISHahahaha
Karibu kupokea likes kusambaza likesMwendo wa likes tuuu