Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
John na mkewe Fausta
Magomeni mapipa
Kinondoni studio
Sio kazi ni starehe hiyoMna kazi
View attachment 689282
Sinza mapambano
Duh hatarSio kazi ni starehe hiyo
Mashaallah
Tabata Liwiti
Na hapo bado hajalazwa chini na kupandiwa. Kuna kuvunjika mbavu na hata kusafoketi kabisa akijichanganya na kukubali kukaliwa usoni...Kwema?Mna kazi
View attachment 689282
Hatujui kama huko pia hawajamshughulikia.....Hata hivyo ana bahati, wenzake hupigika mpaka kwenye makalio, yeye kapigwa usoni tu....
Hahahah haya maelezo duhNa hapo bado hajalazwa chini na kupandiwa. Kuna kuvunjika mbavu na hata kusafoketi kabisa akijichanganya na kukubali kukaliwa usoni...Kwema?
Imefutika na hio jamaa wa fbError....
Ni yale yale ya kujaribu kurudisha gharama kwenye harusi za ma-ex ama?
Asante konge, nilikuwa nakula kama chakula, sasa nitapata chakula na dawa pia