Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1. Fanya Sala
Mara tu uamkapo asubuhi hakikisha unafanya sala, sala ya shukrani ni muhimu sana kwasababu, hakuna kitu cha msingi unachoweza kufanya katika maisha yako kama kushukuru kwa nafasi uliyo pewa kuiona siku mpya. shukuru kwa kila nafasi unayoipata katika maisha yako. shukrani ni kitu kikubwa sana ambacho unaweza kukifanya mara tu uamkapo asubuhi.
 
2. Fikiria Malengo yako
Fikiria malengo yako mara kwa mara, jenga utamaduni wa kusoma mara kwa mara malengo yako ili kuweza kujikumbusha na kujua unatakiwa kufanyanini. kuna faida kubwa katika akili yako kwa kufanikisha yale unayo yataka. kumbuka kusoma mara kwa mara malengo yako.
 
3. Fanya mazoezi
Ni vema na busara ukajali afya yako kwa kufanya mzoezi, mazoezi yanafaida nyingi sana kwenye maisha ya mwanadamu, mazoezi yanajenga uimara katika akili yako na kukuongezea uwezo wa kufikiri lakini siyo hivyo tu, yanakupa uwezo wa kuvumilia kufanya kazi kwa muda mrefu hasa ukizingatia kwa nyakati za sasa ambapo unahitajika kufanya kazi masaa mengi zaidi.
 
Kama nia yako ni kutaka kujenga heshima na ukawa mtu wa kuheshimika, fahamu mambo haya;-


1. Toa thamani.

Ili uweze kujenga heshima kubwa kwa jamii inayokuzunguka, toa thamani, fanya vitu ambavyo vinagusa maisha ya watu. Haijalishhi unafanya kitu gani lakini lilokubwa fanya kitu ambcho kinagusa maisha ya watu, kina mchango wa kubadili maisha ya wengine.
 
Siku zote haijalishi una pesa za kiasi gani, lakini je, kupitia hizo pesa wewe binafsi unatoa mchango gani kwa wengine kufanya maisha ya yakabadilika? Watu wote wanaotoa thamani na kuweza kubadili maisha ya wengine ni watu wa kuheshimika
 
Back
Top Bottom