Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Anasemaje kuhusu passport? Kwenda kuchakura kwenye uzi muda hauruhusu...BAK kanikimbia bana,angalia kwenye huo uzi kuna mtu anasema yake kuhusu passport sasa nikataka mlio nje mnipe uhakika wa kile ninachobishania huko
Nashangaa mtu anapomuuliza mwenzie milima ya madhambi aliyonayo kama yeye ni mtakatifu vile.Binadamu!!!Unafurahia/unashangaa milima ya madhambi ya wadhambi katika dunia hii iliyojaa madhambi na watenda dhambi?
Mtaa huu huuMmh, wapi huko! ♂️[emoji1][emoji1]
Halafu kajikandika na matiti ya bandia hapo kifuani...Aaaargh !!!Mwili umegoma kusisimka.
Hata akili yangu imekataa kabisa kumjadili.
Pyeeeeeee[emoji51] [emoji51] [emoji51] [emoji51]
Mlokole labda...Nashangaa mtu anapomuuliza mwenzie milima ya madhambi aliyonayo kama yeye ni mtakatifu vile.Binadamu!!!
Nakwambia ni mpaka raha. Na kesho ni Superbowl Tom Brady anakalishwa chini. Ni raha mfululizo yaani sema tu baridi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwaka huu tutakoma nao.Anaza Andaeitini in da hausi?
Macho ya uchokozIdris yuko na tabasamu fulani hivi korofi
Shemeji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] niajeeeee[emoji137] [emoji137] [emoji137]Muone[emoji57][emoji57][emoji57]
Salama tu shem,habari ya wewe huko uliko?Shemeji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] niajeeeee[emoji137] [emoji137] [emoji137]