Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alifika saa nne kama aliamriwa
Amepata dhamana kwa kujidhamini mwenyewe
Anatakiwa kurudi alhamisi
Kosa ni uchochozi
Kusema nchi iendeshwe kwa sheria na viongozi waache mihemuko
Viongozi waache mihemko kama ni mimi najitetea kuwa nilikuwa namzungumzia Tundu Lissu. Nashinda kesi kwa ulaini kabisa.

Wanamsumbua tu huyu mzee. Washughulike na waliotia mikataba ya kuuza madini yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…