Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,

*Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*

*Mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*

*Mgeni: Moshi wa nini huo?*

*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*

*hahahahahahahahahahahhaha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kheee kheee kheeeee utamu wa JamiiForums huu! Hata ShilawaDU anashinda humu kutwa kucha ili naye amiminiwe likes. Huwafukuza wapambe wake ofisini kwake eti ana kazi nyeti kumbe yuko JF majukwaa ya siasa, chit chat, MMU na lile la kule chini kabisa kwa raha zake. 😵😵😵
Like hazijamwacha mtu salama mkuu wa kaya mwenyewe anakula likes
 
Kheee kheee kheeeee utamu wa JamiiForums huu! Hata ShilawaDU anashinda humu kutwa kucha ili naye amiminiwe likes. Huwafukuza wapambe wake ofisini kwake eti ana kazi nyeti kumbe yuko JF majukwaa ya siasa, chit chat, MMU na lile la kule chini kabisa kwa raha zake. 😵😵😵
Na ma-Great thinkers wa ukweli nao wanakuja huku? Kweli raha hii ya likes haijawahi kumuacha mtu salama. Karibu kamanda. Kamata likes...
 
```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,

*Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*

*Mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*

*Mgeni: Moshi wa nini huo?*

*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*

*hahahahahahahahahahahhaha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka hadi mbavu zinaniuma.
 
50243587b36136cc92a8c49fae56ad04.jpg
 
Back
Top Bottom