Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

```Uchoyo ukifikia hapa bora kifo```,

*Mama mmoja alikuwa anapakua chakula ghafla akackia hodi,akaficha chakula chini ya kochi,*

*Mgeni alipoingia akaona moshi unatoka chini ya kochi.*

*Mgeni: Moshi wa nini huo?*

*Mama: Mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa kuvuta bangi..*

*hahahahahahahahahahahhaha* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom