Breaking: Cape Town yakumbwa na ukame.Vyanzo vya maji vimebakiwa na 28% ya maji.Mgao wa maji umeanza.Kila nyumba inapaswa kutumia chini ya lita 50 kwa siku.Maji kuachwa kusambazwa kwa njia ya bomba kuanxia Tarehe 16 April.Ni mwiko kuosha magari au kumwagilia bustani.