Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

-238854538-79506004.jpg
 
Akizungumza leo Februari 3,2018 mtoto wa mwanasiasa huyo aliyefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana Februari 2,2018, Kinje Ngombale Mwiru amesema uamuzi huo umetolewa baada ya kufanyika kikao cha familia.
 
Itafanyika ibada ya Kanisa Katoliki nyumbani Jumatatu kisha tutaelekea viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho na baada ya hapo tutaeleka makaburini Kinondoni,” amesema.
 
Itafanyika ibada ya Kanisa Katoliki nyumbani Jumatatu kisha tutaelekea viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho na baada ya hapo tutaeleka makaburini Kinondoni,” amesema.

Nilisikia huko nyuma kama huyu Mheshimiwa baada ya kuwasoma sana, Lenin na Max aliamua kuachana na mambo ya dini? Au zilikuwa radio mbao tu za wa-Bongo?
 
Back
Top Bottom