myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
23:13
Mzungu akalipia wote isipokuwa yule mweusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muhudumu akagawa chakula kwa watu wote kasoro yule mweusi na kisha akaenda kwa yule mzungu kuchukua malipo.
Mafunzo: Tujifunze kuondoa chuki mioyoni mwetu kwani Ubaya umfanyiao MTU huenda ikawa sababu ya kunufaika kwake na ikawa njia ya kuanguka kwako.
Kwema kabisa nafurahi kukuona hapa kwenye Uzi wetu pendwaMzee wa liver, Kwema?
Yap mkuu[emoji106][emoji106]
Ndio chemical formula yetuLikes kwa likes daima