andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Aaaaaa kupendwa ndio huko[emoji23] [emoji23] utaikuta usijali
Aaaaaa kupendwa ndio huko[emoji23] [emoji23] utaikuta usijali
AiseehNakunong'oneza tu "wewe na mimi tunaendana"
[emoji23] [emoji23]Aaaaaa kupendwa ndio huko
Huyo dada mbona kama nguo ilikua inataka kumvuka
Wamefunga pingu za maisha shida iko wapi?[emoji23] [emoji23]
Aisee nilikuwa na log of lakini umekuja wewe ngoja nicheke kidogo
Huyo dada mbona kama nguo ilikua inataka kumvuka
Aisee nilikuwa na log of lakini umekuja wewe ngoja nicheke kidogo
Hahaa bos ready...hii lugha hiiAnamaanisha bossladyView attachment 531447
Daah fashion nyingine hizi acha zinipite tuKweli ila ilimrad nae anendane na fashen