Niko kwenye mwezi wa mapenzi mubashara
Moyo wanguu umejaa mahaba teleeee
Nan wa kumpatia ujumbe wenye vionjooo vitamu vya mahaba
Wacha nitoe ya moyoni nisije pata vidonda vya tumbo
Upendo unaelea Unapepea kama kipepeo
Unahitaji maua mazuri ili kipepeo aweze kutua
Mahaba mazito niliyoyabeba Nimeamua kuyashusha taratibu yanautesa mtima wangu
Demiss(chamdeko)