UTAFITI MDOGO NILIØUFANYA SIKU YA TAR 14/02/2014 AMBAYO NI VALENTINE DAY NA PIA NI SIKU YA MECHI KATI YA REAL MADRID NA PSG WANAUME WENGI SAWA NA ASILIMIA 80% WAMEKIRI KUWA KUANGALIA MECHI HIYO NI JAMBO LA MUHIMU KULIKO KUWA NA WENZA WAO
NINI MAONI YAKO
Serikali ilizifunga stesheni tatu za televisheni NTV, Citizen na KTN kwa madai kuwa vilipanga kupeperusha moja kwa moja matangazo sherehe ya kumuapisha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kama rais licha ya onyo kutofanya hivyo.
Hawa heshimu sheria, hawa heshumi katiba, wananchi wa Kenya hawatawaruhusu kuturidisha katika enzi za Jomo Kenyatta, enzi za Moi, tutapigana nao mpaka mwisho" ameelezea Tom.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.