Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UTAFITI MDOGO NILIØUFANYA SIKU YA TAR 14/02/2014 AMBAYO NI VALENTINE DAY NA PIA NI SIKU YA MECHI KATI YA REAL MADRID NA PSG WANAUME WENGI SAWA NA ASILIMIA 80% WAMEKIRI KUWA KUANGALIA MECHI HIYO NI JAMBO LA MUHIMU KULIKO KUWA NA WENZA WAO
NINI MAONI YAKO
 
Serikali ilizifunga stesheni tatu za televisheni NTV, Citizen na KTN kwa madai kuwa vilipanga kupeperusha moja kwa moja matangazo sherehe ya kumuapisha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kama rais licha ya onyo kutofanya hivyo.
 
Awali, wanaharakati waliokuwa wakiandamana kuishinikiza serikali kuvifungua vituo hivyo, walitawanywa na polisi kwa kutumia gesi ya kutoa machozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…