Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwimbaji huyo aliyezaliwa Barbados ni kama balozi wa kikundi hicho cha kimataifa.

“Kazi yetu haiwezi kuisha,” Rihanna aliwaambia wasikilizaji. “Na hatuwezi kuacha kupigana hadi kila kijana na kila msichana aweze kupata elimu.”
 
Shimbaaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Uingereza, Harry Kane amekabidhiwa vifaa vipya vya mchezo wa soka na kampuni ya Nike baada ya hapo jana siku ya Jumapili kufikisha jumla ya mabao 100.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…