Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Bro umenifanya nicheke kwa nguvu sana wakati kichwa kinaniuma ha ha ha
Ha ha haHahaha
kama sio wewe vile
Sasa mchezaji huyo anafikisha idadi ya magoli hayo 100 akiwa ameichezea timu hiyo jumla ya michezo 141.
Jezi mpya ya timu ya taifa ya Uingereza inayotarajiwa kuvaliwa wakati wa mashindano ya kombe la dunia nchini Urusi zimevuja kupitia mitandao ya kijamii.
Kampuni ya Nike ilitarajia kuzindua jezi hizo mpya kabla ya mchezo wao ujao wa kimataifa mwezi Machi, lakini kupitia mtandao wa FootHeadlines.com umeweza kuonyesha picha za uzi huo mpya wa Uingereza.
Pole bro kwa kichwa. Panadol mbili tu kama ni kichwa cha kawaida kazi kwisha. Jaribu kupata usingizi wa kutosha bro na usiwaze sana kuhusu ile namba wani source ya matatizo hapa duniani..[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Bro umenifanya nicheke kwa nguvu sana wakati kichwa kinaniuma ha ha ha
Asante numbisa unaona picha lakiniPole
Umenifanya nicheke tu kwakweliSema shemeji yangu darling sana nipendezwaye naye. Nimewasha/nimezima moto? Nisamehewe kama nimevuka mstari. Siku hizi akili zangu bana ni shida !!!
Jezi hiyo mpya inaonyesha wanyama aina ya Simba wa rangi ya blu, ufito mwekundu maeneo ya shingoni na nembo ya nike ya rangi ya bluu.
Aiseh![emoji7][emoji7][emoji7]Nimekuhamu kishenzi aisee