Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Miguu na shepu haviendani
Angepata miguu ileee
697e124ed106497829b645b05607edb4.jpg
 
Hivyo kwa mnywaji wa pombe ini lake hushindwa kutengeneza sukari/nishati hivyo mwili kukosa nguvu na hii huathiri kiwango cha mchezaji kwani atashindwa kucheza kwa nguvu.

Njia hizi mbili ndizo zina matokeo kama humsababishia mwanamichezo kukosa nguvu, misuli kuumwa na kuwa dhaifu, kuwa mchovu, kushindwa kuwa makini uwanjani, kukosa utulivu, kichwa kuuma, kubadilika tabia ikiwamo ukali au ukorofu na kuongezeka uzito kiholela
 
Miguu bomba..unaweza kukuta haiendani na kifua!!
Ukitafuta kasoro kwa mtu utaipata tu. Na inategemea na unachokitafuta/unachokipenda. Wengine kifua ni non issue as long as miguu na msambwanda vipo [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Pia pombe inasababisha protini tunayoipata kwa kula vyakula kutonyonywa katika mfumo wa chakula. Kukosekana kwa kirutubisho hiki kwa mwanamichezo misuli yake haita jengeka na kuimarika.

Vile vile protini ndiyo inayochangia misuli kujikunja na kukunjuka, upungufu wa protini husababisha misuli kutofanya kazi yake kwa ufanisi hivyo mchezaji hukosa kasi anapokuwa uwanjani.
 
Sababu 6 Za Kukosa / Kuchelewa Kupata Hedhi



Kwa mwanamke kuchelewa kupata hedhi huwa hakushitui endapo mwanamke atakua anajua ni nini tatizo au sababu iliyopelekea yeye kukosa hedhi. Na majibu ya kuchelewa kwa hedhi hupatikana pindi hedhi hiyo inapochelewa.
 
Mfano kama ulikua unategemea kupata mimba, ikichelewa inakua ni dalili ya kwanza ya wewe kuanza kufikiria jambo ulilolitaka ninaelekea kutimia na hata ukatabasamu na kuwaza hatua nyingine ya kujipima nyumbani au kuenda hospitali. Na kama hukuwa umetarajia ndio hivyo tena mawazo ya kila aina yatakuja kichwa kutaka kujua kwanini hedhi yako imechelewa na pengine usipate majibu kabisa.

Hapa nimekuwekea sababu 6 zinazoweza kusababisha hedhi ya mwanamke kuchelewa, na nimefanya hivi kwa kutambua kwamba wanawake wengi hufikiria sababu moja tu endapo hedhi yao itakua imechelewa.
 
Back
Top Bottom