Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

27503177_526057624440765_7829368993248599484_o.jpg
 
Aah valentine inipite tu,avatar inaanza leta matata,sura tu hivi je akiona na mswabwax huyu andaa dripu ya juisi ya ndimu,pilipili,limao na tangawizi apone hahaha
Enheee.... Elezea tu ugonjwa wangu mama. Wewe ni msukuma huwezi kuikosa hiyo kitu msambwax[emoji23] [emoji23] [emoji23] japo kama una kadamu ka kinyakyusa vileee....kwa jeuri uliyo nayo msukuma pyua hawezi. Bhule kalumbu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siwezi kuilalia kwa kweli. Napenda ugiza ugiza muda uleeee wa engine on[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Numbisa beibiiiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiki ndo kizuri sasa muda wa engine on,hivyo vitaa vinaongeza naniii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiki ndo kizuri sasa muda wa engine on,hivyo vitaa vinaongeza naniii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamna kitu... Kwenye hiyo shughuli sura zetu zinarudi kuwa orijino-mbaayaaaaa... Mwanga wa nini? Ukiiona sura ya mwanaume anaekamua maziwa,hakika binti hauwezi kumwaga wazungu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe
Yaani me nakwambia hivyo vitaa ndo mwake yani.
 
Back
Top Bottom