Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

d19833562163ce87c35d81ac13657180.jpg
 
Mbinu za Kutunza Ngozi yenye Mafuta



Sababu ya ngozi kuwa na mafuta hutokana na na tezi za sebaceous na kuzalisha mafuta zaidi ya kiwango ambacho ambacho kinatakiwa. Lakini licha ya tezi hizo aina za sebaceous kuzalisha kiwango cha mafuta kwa wingi, zipo pia sababu nyingine ambazo zinafanya ngozi kuwa na mafuta ambazo
 
Kama ifuatavyo:

Kurithi.Lishe.Kiwango cha homoni mbalimbali mwiliniUjauzito.Baadhi ya vipodozi .Mabadiliko ya hali ya hewa hasa joto.

Na madhara ambayo yanatokana na ngozi yenye mafuta ni kwamba, ngozi huweza kutengeneza ngozi yenye tabaka lisiloisha vipele pamoja na chunusi kwa muda mrefu.
 
Baada ya kuona baadhi ya sababu na athari ya ngozi kuwa mafuta, sasa tuangalie namna ya kutunza ngozi zenye mafuta:

1. Ngozi yenye mafuta inahitajia kusafishwa vyema kwa maji ya moto na sabuni ili kuzuia vinyweleo visizibwe na mafuta. Lakini Jitahidi kuitunza vyema ngozi yako na kuisafisha vizuri. Jaribu kuosha uso mara mbili au mara tatu kwa siku. Usioshe mara nyingi kwani kufanya hivyo huufanya uso kutoa mafuta zaidi.
 
Epuka kutumia vipodozi ambavyo huifanya ngozi yako ipoteze maji au kukauka. Kwani husababisha sehemu ya juu ya ngozi inyauke, na hivyo kusababisha mafuta kuziba vinyweleo na kupelekea kutokea kwa chunusi ambazo zitaufanya mwili kuwa na mafuta.
 
Chagua kile unachosafishia kwa makini, jiepushe kutumia cream nzito nzito au vifaa vugumu wakati wa kuosha uso wako. Ni bora utumie sabuni za kawaida zisizokuwa na madawa. Unaweza kutumia lotion ya kuua bacteria au sabuni zisizo na dawa nyingi (lightly medicated), au sabuni zenye madini mbalimbali. Ni bora usioshe au kutumia lotion au michanganyiko yenye alkoholi.
 
. Lakini pia unashauriwa ya kwamba hakikisha unatumia mafuta ambayo yametengenezwa kwa ajili ya ngozi yenye mafuta.

Endapo utayazingatia hayo mwili wako utakwenda kuwa katika hali ya ubora zaidi, na kufurahia ngozi isiyo na kasoro.
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

A worthy and true friend is someone who understands your past, believes in your future and accepts you today the way you are. Such people are rare, and you are very special to find one.
Above all, don't stress about the close doors behind you. New doors are opening if you keep moving forward. But first be strong and muster courage, you will be the happiest person.

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
You fall, you rise, you make mistakes, you live, you learn. You’re human, not perfect. You’ve been hurt, but you’re alive. Think of what a precious privilege it is to be alive—to breathe, to think, to enjoy, and to chase the things you love. Sometimes there is sadness in our journey, but there is also lots of beauty. We must keep putting one foot in front of the other even when we hurt, for we will never know what is waiting for us just around the bend.

- Unknown
 
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

The work may be challenging. But that is no reason to avoid it.

You may not be clear about what to do. But that is no excuse to do nothing.

What you must do is get started. What you must be is committed to your purpose.

Begin the task, take the first step, and your effort will illuminate the next step. Stay with it, keep going, and your purpose and passion grow strong.

Don't wait for inspiration. Because the inspiration has no place to take hold. Instead, getting busy with each effort becomes more inspired.

Invest yourself. Commit your time, your action, and your focus to the progress you desire. Go ahead, do, and you’ll be inspired to do much more.

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 
Back
Top Bottom