Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa timu ya taifa ya Uganda Cranes, Isaac Isinde na Boban Zirintusa wameachiliwa na klabu ya Zambia Buildcon FC. Isinde na Zirintusa ni miongoni mwa wachezaji 16 ambao klabu hiyo imewatoa.{New Vision Uganda}
 
Kipa wa Roma Alisson, anayelengwa na Liverpool, ni kipa bora zaidi duniani na raia huyo wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 ana thamani ya Yuro 50m kulingana na kocha Roberto Negrsolo. (Il Romanista, via Goal)
 
Klabu ya Benevento, ambayo iko pointi tisa chini ya ligi ya Serie A , imefanya majaribio ya kuwasajili aliyekuwa kiungo wa kati wa Arsenal Samir Nasri na Alex Song, wote wakiwa na umri wa 30, na wako huru. (Sky Italia - in Italian)
 
wakinyimwa nn ten??
5542c0a428399ea0b055b8194108c673.jpg
 
View attachment 692306
carbamazepine, taratibu aisee! andjul ameiona hii? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama kaiona hana la kufanya. Kamdomo kenyewe hako mhhhh !!! Masaksafoni yake manene mazito marefu hapo hayafai. Ataishia kuvunja mataya bure. Ashindwe na alegee [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom