moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,901 Uzi huu waweza kukufanya ufokewe na mwenza wako baada ya kuamka usiku mkubwa na kuanza kusoma na kugonga likes
Uzi huu waweza kukufanya ufokewe na mwenza wako baada ya kuamka usiku mkubwa na kuanza kusoma na kugonga likes
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,904 Uzi huu waweza kukufanya kama huoni hata kama mbele yako luninga itakuonyesha Liverpool derby yaani Everton vs liverpool
Uzi huu waweza kukufanya kama huoni hata kama mbele yako luninga itakuonyesha Liverpool derby yaani Everton vs liverpool
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,907 Uzi huu waweza kuonekana kioja mtaani hasa wakutanapo mtu na pimbi wake wakirushiana maneno utacheeka mpaka watu wakushangae
Uzi huu waweza kuonekana kioja mtaani hasa wakutanapo mtu na pimbi wake wakirushiana maneno utacheeka mpaka watu wakushangae
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,915 Uzi huu bana, wewe uwepo ama usiwepo Uzi utapaa kwa kasi ile ile
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,917 Uzi huu bana, kweli ni mama wa uzi
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,165 Reaction score 777,891 Feb 8, 2018 #563,918 Wakuu tuonane baadaye kidogo