Kabisa yan wanaume wengi wakipitia hili somo lazma penzi linogeYani kama zile picha za kihindi[emoji3] [emoji3]
Mm naona kitanda kikubwa sana leo na huu usingle utalalaje kwa mfanoUsingizi umeruka Demiss, na wewe je?
Huyo huyo maana nikifungua tu jf namkuta juuu juuuNadhani unamaanisha Rutashubanyuma
Mm naona kitanda kikubwa sana leo na huu usingle utalalaje kwa mfano
Huyo huyo maana nikifungua tu jf namkuta juuu juuu
Natak mdogo wako niolewe kabisa nimechoka haya maishaKumbatia mto mmoja na mwingine weka katikati ya miguu itapendeza. Usingizi mwanana kabisaaaaaa
Nimemmiss kwa kweliMzigo wake anaoupiga humu acha kabisa!!!
Natak mdogo wako niolewe kabisa nimechoka haya maisha
Usiku mwema na mm naamini mme mwema yupo hapahpa Jf ipo siku nitamuona nitampa lundo la upendo lililojaa faraja na kila aina ya furahaKwa jinsi ninavyokusoma humu wewe utakuwa mke mwema na wahenga walisema subira yavuta heri.
Usiku mwema na mm naamini mme mwema yupo hapahpa Jf ipo siku nitamuona nitampa lundo la upendo lililojaa faraja na kila aina ya furaha
Mungu wetu ni wa ajabu sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mgongoni wakuwekee picha ya chenza, kifuani wakuwekee picha ya pimbi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]