carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Zawadi ya kudumu ni kubalikiwa wowowo[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nadhani kitu kinachowafanya baadhi ya wanawake wajione kuwa wamekamilika ni their behind! Hawa wa huku Nansio walikuwa wanadai eti, waafrica wengi wana misambwanda ya haja eti Kwa vile evolution bado inatake place, haijakamilika! Lakini nao siku hizi nawaona tu wanavyoitafuta kwa gharama yoyote, ile slogan ya English figure inaendelea kujifia taratibu! [emoji23][emoji23][emoji23]