UKIWA mfugaji ni lazima kujua tabia za wanyama unaowafuga, siyo tu kufurahia matunda yatokanayo na wanyama hao.
Hii pia itakusaidia kugundua kama mnyama wako anaumwa ama yuko katika afya njema, maana tabia zao mara nyingi zinaelezea hivyo.
Unaweza kujua kama amekasirika au amejenga urafiki.
Wanyama wa kufuga ni rafiki, ingawa baadhi yao ni hatari ikiwa watachokozwa ama kutendwa visivyo – kama mbwa na paka.
Nitawapa kisa kimoja. Kuna jamaa walikuwa na shamba kubwa la mifugo na ndani yake wakawa wanafuga chotara wa nyati na ng’ombe, si mnajua kwamba maziwa ya nyati ni mazuri sana?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.