Kama ilivyo kwa wanyama wawindwao, sungura wamejaliwa namna ya kutambua kama kuna hatari na wamewezeshwa jinsi ya kukimbia hatari hizo – kwa kukimbia na chenga za ajabu.
Macho yao yako pembeni mwa vichwa vyao hivyo ni rahisi kuona kwa nyuzi 360 katika mazingira yanayowazunguka.
Eneo pekee ambalo hawaoni ni lile la mbele ya uso wake. Jaribu kumkaribia sungura wako kwa kumgusa eneo la mbele utaona.
Sungura wana uwezo wa kunusa na kusikia ili kutambua kama unawakaribia pale ambapo wanakuwa hawakuoni.
Fahamu za kusikia ni silaha yao kubwa kutambua hatari inayowakaribia kwa sababu sungura wana uwezo wa kusikia kutoka umbali wa kilometa 1.5. kama kuna jambo la hatari, watasimama kwa kutumia miguu yao ya nyuma na kutoa sauti ya tahadhari kwa wenzao.
Nadhani kitu kinachowafanya baadhi ya wanawake wajione kuwa wamekamilika ni their behind! Hawa wa huku Nansio walikuwa wanadai eti, waafrica wengi wana misambwanda ya haja eti Kwa vile evolution bado inatake place, haijakamilika! Lakini nao siku hizi nawaona tu wanavyoitafuta kwa gharama yoyote, ile slogan ya English figure inaendelea kujifia taratibu! [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.