myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mh!! Dubwana hilo..
Mh!! Dubwana hilo..
Wanasemaga eti hakuna mkate mgumu mbele ya chai lakini mikate mingine mhhh....Mh!! Dubwana hilo..
Mkate huo slesi yake haiingii kwenye kikombe cha chaiWanasemaga eti hakuna mkate mgumu mbele ya chai lakini mikate mingine mhhh....
Hapana, yule Bint alikuwa mtoto wa Abasi MtemvuRIP...
Ndiyo babake na yule Miss Tz wa kipindi kile aliyedanganya umri wakamnyang'anya tuzo?
OK. Nilichanganya madesa. Wabeja namhala!!!Hapana, yule Bint alikuwa mtoto wa Abasi Mtemvu