Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5bd87d97e460d80d43089e9d94150e32.jpg
 
Kuna vichaa walikua wanasafirishwa Kwenda Iringa toka Morogoro sasa kufika pale Mikumi kichaa mmoja akawa anamuonesha mwenzake unawaona Simba wale..yule Mwenzake akamuuliza sasa pale Okwi ndie yupi pale?
 
Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo.
Unaweza jikuta umekubali kuolewa hivi hivi bila kujijua...Akakuuliza Nikupeleke gheto.
Wewe ndio...eeh eeh
 
Back
Top Bottom