Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

C1FC1272-57BA-4F44-B35F-EFE5FDBAD210.jpeg
 
Je wajua,kadri binadamu anavo zidi kukuwa na namba ya mifupi mwilini mwake inapungua,,mtoto anazaliwa na mifupa 350,lakini kadri siku zinavozidi kuongezeka(kukuwa) mifupa inapungua adi kufikia 206 (mtu mzima)
 
Hii dunia hii,hapana kwakweli.
Pesa/mali imekuwa sababu ya kukosa utu
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mwanamke aibiwa figo na mumewe




Mwanamke mmoja nchini India amedai kuwa mumewe na nduguye wa kambo wamekamatwa baada ya kuambiwa maafisa wa polisi walimuibia figo moja ili kujilipia mahari.


Vyombo vya habari vimeripoti kwamba mumewe mwanamke huyo kutoka Magharibi mwa Bengal alipanga upasuaji wa eneo moja la matumbo yake wakati alipokuwa akiugua uchungu katika tumbo lake.


Baadaye mwaka 2017, alifanyiwa vipimo viwili vya ukaguzi wa kimatibabu ambavyo vilibani kwamba figo yake moja haipo.


Anadai kwamba mumewe mara kwa mara alitaka kulipwa mahari yake .


Malipo ya mahari hiyo ambayo hulipwa familia ya mume kutoka kwa familia ya mke nchini India yamepigwa marufuku nchini India tangu 1961.


Akizungumza na vyombo vya habari nchini India, mwathiriwa Rita Sarkar , alisema amekuwa mwathiriwa wa mgogoro wa kinyumbani kutokana na mahari hiyo kwa miaka mingi.


''Mumewe wangu alinipeleka katika hospitali ya kibinfasi mjini Kolkata, ambapo yeye na maafisa wa matibabu waliniambia kwamba atapona atakapotolewa eneo hilo la utumbo lililovimba kupitia upasuaji'' , gazeti la Hindustan lilimnukuu akisema.


''Mumewe wangu alinionya kutozungumza kuhusu upasuaji huo kwa mtu yeyote mjini Kolkata''


Miezi kadhaa baadaye mwanamke huyo alikuwa akihisi vibaya na akapelekwa hospitalini na watu wa familia yake.


Uchunguzi ulibaini kwamba figo yake ya upande wa kulia ilikuwa imetolewa, alisema.


Ukaguzi wa pili wa kimatibabu ulithibitisha ukweli huo.


''Baadaye nilijiuliza ni kwa nini mume wangu alinitaka kunyamazia upasuaji niliofanyiwa', aliambia gazeti la Hindustan Times.


''Aliuza figo yangu kwa sababu familia yangu haikuweza kumlipa mahari yake''.Mwanamke mmoja nchini India amedai kuwa mumewe na nduguye wa kambo wamekamatwa baada ya kuambiwa maafisa wa polisi walimuibia figo moja ili kujilipia mahari.


Source: BBC
 
Subiri wanaharakati wakusikie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]

Muhubiri adai Wanawake ndio chanzo cha uovu duniani



Muhubiri mmoja wa Rwanda huenda akajapata mashakani mbele ya vyombo vya habari baada ya kuwaita wanawake ''chanzo cha uovu'' katika mahubiri ya redio.

Muhubiri hiyo wa kanisa la Seventh Day Adventist Nicolas Niyibikora aliwambia wanawake kwamba hawapendwi na Mungu wakati wa matangazo ya idhaa ya redio ya Amazing Grace mwezi Januari akionya kuwa ''hakuna lolote jema linaloweza kupatikana kutoka kwa wanawake''.

''Unaposoma Biblia , ni nani aliyeleta dhambi duniani''? Aliuliza akiongeze, ''sio mwanamume''.

Tayari mahubiri hayo yamewakasirisha wanaharakati huku wale wanaounga mkono usawa wa kijinsia wakiitisha mkutano na vyombo vya habari na kuonya kuwa maneneo kama hayo yanaweza kusababisha chuki na mzozo miongoni mwa raia wa Rwanda iwapo hakuna hatua ya haraka itachukuliwa , kulingana na gazeti la Rwanda la New Times.

Kundi la kutetea haki za wanawake liliwasilisha malalamishi yake katika tume ya udhibiti wa vyombo vya habari ambayo inatarajiwa kukutana ili kuzungunmzia kuhusu swala hilo wiki ijayo.

Afsa mkuu Emmanuel Mugisha aliambia gazeti la New Times kwamba kuna uwezekano idhaa hiyo italazimika kujieleza.

Kanisa la Seventh Day nchini Rwanda limefanya juhudi za kujitenga na Niyibikora, ambaye wanasema aliipgwa marufuku kwa miaka ,mitano.
 
Mungu akufanyie wepesi,ugua upone[emoji120][emoji120][emoji120][emoji116][emoji116][emoji116]
Mzee Majuto awaomba Wasanii na Watanzania kumuombea
5C2B2262-2981-4B2F-8ECF-F37CEBAC43E7-1036-000001A297629C6C.jpg





Amri Athuman ‘Mzee Majuto’

MKONGWE wa filamu za Kibongo aliye kipenzi cha wengi, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ ambaye kwa sasa ni mgonjwa ametoa ya moyoni kuwa bado anaumwa hivyo kuwaomba wasanii wenzake na Watanzania kumuombea.

Akizungumza na Star Mix, Mzee Majuto alisema Februari 11, mwaka huu anatarajia kurudi tena katika Hospitali ya Tumaini, Dar alikokuwa amelazwa awali na kuruhusiwa baada ya daktari wake kufiwa ambapo ndiyo ataenda kufanyiwa upasuaji wa ugonjwa wa tezi dume unaomsumbua.

“Niliruhusiwa Jumamosi iliyopita lakini bado naumwa, tezi dume si mchezo, ninachoweza kuwaambia wasanii wenzangu na Watanzania kwa jumla, waniombee tu,” alisema Mzee Majuto.
 
Back
Top Bottom