Nyimbo za wahenga hizi umezijulia wapi? Madilu ile sauti yake tu basi. Ndiyo maana alipokuja Dar nilihakikisha nakwenda kumshuhudia aisee. Apumzike kwa amani...Akolelele akolelel mamou
Mtu mnene unamwongezea hamu ya kula kweli kuna kupunguza uzito hapo?Kwa watu wanene, matumizi ya dafu huwasaidia kupunguza uzito na kuwaongezea hamu ya kula kutokana na uasilia wake.
It is the same to All of Us hereNzuri sana my dear brother
Nimewamiss kweli kweli
Hadi ugali??Bad cholesterol shemeji japo mara moja moja siyo mbaya. Daktari wangu kanikataza. Na ugali eti siruhusiwi. Hovyo kabisa...!!!
Mimi ndo nilijua hivyoSiyo kila mwenye msambwanda ni mrembo.
Tabia ya kunizungumzia umeanza lini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiasyumu kuwa eti kwa vile ni kakimbaumbau basi hakali sana.
Hahahaha mie muhenga,bongo fleva na nyimbo za akina cole na jakito sizijui kabisaaNyimbo za wahenga hizi umezijulia wapi? Madilu ile sauti yake tu basi. Ndiyo maana alipokuja Dar nilihakikisha nakwenda kumshuhudia aisee. Apumzike kwa amani...
Critor/kisimi
Mkorogo umegoma au ndiyo stages mojawapo kabla ya kuukwaa weupe?