Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unywaji wa maji ya madafu mara kwa mara husaidia kupunguza tatizo la msukumo mkubwa wa damu mwilini. Wataalamu wa lishe wanashauri maji hayo yanywewe asubuhi kabla ya kutumia chakula au kinywaji chochote.
 
Mbali na watu wanene, pia wataalamu wa lishe wanasema ulaji wa madafu una faida kubwa hata kwa watu wanaocheza michezo mbalimbali, kwani huwasaidia kuwaondolea uchovu na kuwaongezea nguvu wawapo uwanjani.
 
Nyimbo za wahenga hizi umezijulia wapi? Madilu ile sauti yake tu basi. Ndiyo maana alipokuja Dar nilihakikisha nakwenda kumshuhudia aisee. Apumzike kwa amani...
Hahahaha mie muhenga,bongo fleva na nyimbo za akina cole na jakito sizijui kabisaa

Msiba wa madilu ulinipita nahisi nilikua huko gerezani(hahaha boarding school)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…