Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha sio kwel bana wewe sema ukiwa kwenye daladala huwa unawaonanavyojipiga makwenzi na tukofi flan hivi badala kunakuna kama wanatoa chawa
 
Hawa wanapenda drama,kim anataka mtumia mtoto waliyempata kwa njia surrogate kujipatia mamilion ila kanye hataki mambo hayo,cha kujiuliza wale watoto ambao kim alibeba mimba aligoma kuwatumia kupata hela,kwann huyu?na je atampenda kweli!?
Lazima kutakuwa na distance fulani...Ila nyie akina mama mnajua. Mtoto aliyekaa tumboni mwako na huyu uliyebebewa. Sidhani kama level of affection inakuwa ni ile ile....
 
Naomba uendelee tafadhali[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Napenda umbeya[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…