Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️. Hata ukikaa na mvaaji kwenye daladala au mwendo kasi halafu akakosea likakugusa mkononi au usoni, kujikuna kwake si kwa kawaida. Naomba niishie hapo kwa leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] seya wa mivalooo[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
 
We all want to have skinny body but nobody wants to have thin hair, wengi tuna tupia lawama homoni ( nimezaliwa hivi hivi), wengine salon, madawa nakadhalika, inawezekana una natural au relaxed hair na bado zikawa nyepesi hii ni kutokana na mambo mengi ambayo baadhi tumeyataja hapo juu. Lakini ni namna gani unaweza kuzitunza hizi nywele ziishe zaidi? soma hapo chini
 
Osha nywele mara moja kwa week au kila baada ya week – tunapaka mafuta mbalimbali ya nywele yana kemikali mbalimbali inawezeka ni nzuri kwa wakati fulani baada ya hapo zinakua kemikali mbaya kwa hiyo ni vyema kuziosha kabla hazija badilika na kuzidi kuharibu nywele zako.
 
Wakati mwingine tabasamu/kicheko ni njia nzuri sana ya kuficha yale tuyabebayo ndani ya mioyo yetu.
Lakini ni kicheko kinachokufa...kina muda wa uhai. Kimejaa fadhaa,huambatana na machozi ya kulenga lenga. Hakina tiba,kina sababisha sura kukosa nuru.
Mungu pekee ndiye mfariji[emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom