Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

hi I
943da1258ac5239abe8e92d90b911e13.jpg
 
4. LOC METHOD
Loc method ni njia nzuri ya kuipa nywele moisture ya kutosha , pakaa leave in kwenye nywele ulizospray maji , Oil then Cream to seal in the moisture..I personally dont use the loc method because my hair seems to like oil after the cream ….. Kuna njia nyingi za kupaka products … You have to figure out what works for your hair …
 
Unapo ongelea Fashion kuna sekta nyingi ikiwepo ubunifu wa vitu mbalimbali kama mavazi na urembo (hereni, mikufu, bangili) na vingine vingi. Kwa sasa katika sekta ya urembo inaonekana statement earrings ndio zipo kwenye chat, ukipita mitandaoni unakutana na fashionistas na watu maarufu mbali mbali wakiwa wametupia.
 
Kama tulivyo sema mwanzo unaweza kuipaka na ukaingia popote ina fit, kazini, harusini, kwenye mitoko ni neutral color. and we love it for that.

lakini ukipaka rangi hii pia unaonekana chic and fashionable, kama utaipaka na kuvaa vizuri rangi hii inaweza kuwa sexy and edgy lakini pia inaweza kuwa classy na sophisticated.
 
Tips za jinsi unaweza kuvaa rangi hii kwa faida yako,

usivae rangi nyeusi
vaa simple accessories acha black nail polish ndio iwe main accessory yako
rangi nyeusi inapendeza zaidi katika kucha fupi na size ya kati,katika kucha ndefu inatisha.
rangi nyeusi ina attract attention unahitajika kuwa na confidence, kama unaaibu au hutaki kuattract attention usipake hii rangi.
 
Back
Top Bottom