Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole shemeji,kama napata picha ulivyokuwa umwnywea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana chezea wanawake na nywele zao
Asante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jean de Dieu Makiese 'madilu' amefarikiAugost 2007. Ulikuwa bodingi sikuli?
Mwe mwe mweeeee.....wee mtoto!! Kumbe ngukina na abhana abhanini bhosa muno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wengine humu tunataniana na mabinti zetu kabisa. Za kupotea siku mbili tatu hivi?
 
Asante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesemaaa??mwezi mzima?
Hakuna juice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana maana.......
 
Back
Top Bottom