myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukiwa mchoyo usiombe vya wenzako..
Uzi huu una sumaku kila anajificha ananasa siku ikifikaBaada ya kujifichaficha kwa muda mreeefu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba nae alijilipua juzi.
Jamani huu uzi raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlafi huyu...View attachment 693224ni furahiiii day
Duh!Nimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikumbushe....Baada ya kujifichaficha kwa muda mreeefu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba nae alijilipua juzi.
Jamani huu uzi raha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli...Uzi huu una sumaku kila anajificha ananasa siku ikifika
Mwee mweee hahahahaAsante. Mwanzoni nilidhani anatania. Vilio vilipoongezeka ndiyo nikajua kuwa ilikuwa ishu siriazi. Halafu karibia mwezi mzima sionjeshwi juisi ya chenza la Andjul kisa eti nimetupa wigi lake japo tayari nilikuwa nishamnunulia jingine. Kuanzia hapo mi na wavaa mawigi ni maji na mafuta aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2007 shahada?Nimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha kusuka pia ni boraMweee nani ana hair cut hapa,ile enzi imepita,zisharefuka nasuka now.
Nshakausha. Nina usongo na mahali balaa. Muda mrefu sana sijakamata ng'ombe na kula nyama ja bukombe....
Teh![emoji23][emoji23]Mlafi huyu...
Acha azifakamie.
Chenza leo litakamuliwa tu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sifa ya moyoWakati mwingine tabasamu/kicheko ni njia nzuri sana ya kuficha yale tuyabebayo ndani ya mioyo yetu.
Nina uwezo wa kukata hata miaka mitatu. No big deal. Sikuridhishwa tu na sababu yenyewe. Baadaye sana niligundua kuwa kumbe nywele ni kitu cha muhimu sana kwa mwanamke.Umesemaaa??mwezi mzima?
Hakuna juice[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana maana.......
Hamna anaenikwaza humu kuwa huru,mie mwepesi wa kufunguka nikikwazwa. Uzi murua huuNikumbushe....
Uhuru wa Numbisa. Pengine nilikuwa nautumia vibaya. Nshaanza kujirekebisha !!!
Afadhali umekujaHa ha ha kusuka pia ni bora
Kweli tupu. Ubaya tu hamtaki tuonane. Aisee ingekuwa kasheshe mtu unakutana na mtu mwenye umri wa binti yako kabisa. Aibuuuu !!!Hee shimbaaaa
Woyoooo andaeitin kaogezekaaaa2007 shahada?
Me ndo niko kindagateni uuuwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shkamooo shemeji
Sasa itabidi nianze kuwa na adabu humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umeanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubembeleza muhimu..IPO siku atajikuta katikati ya mafiga na moto unawaka!!!
Carba kamata cole huyu hapaHa ha ha kusuka pia ni bora