carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Jiandae kudai mahari shemejiMara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiandae kudai mahari shemejiMara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante..hapa mpaka j3Asante[emoji120][emoji120]jirani
Uwe na mapumziko mema ya mwisho wa juma
Ukiachana na mambo ya machenza na maparachichi yako, una busara sana. Basi tu !!!Lakini ni kicheko kinachokufa...kina muda wa uhai. Kimejaa fadhaa,huambatana na machozi ya kulenga lenga. Hakina tiba,kina sababisha sura kukosa nuru.
Mungu pekee ndiye mfariji[emoji120] [emoji120]
Na ili chawamita wamsamehe kesi ataleta picha matata ,story zitabadilika kujadili msabwax badala ya kesiMara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KabisaaaaHahahahha weekend inaanza vizurii
Na ili chawamita wamsamehe kesi ataleta picha matata ,story zitabadilika kujadili msabwax badala ya kesiMara paap utasikia "ME AND YOU FOR EVER". "I LOVE YOU" "TRUE LOVE NEVER DIES" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera bhanaAsante..hapa mpaka j3
Ndiyo maana anaitwa "kijana mpole" aka Simba mwenda pole. That's my bro...[emoji122][emoji122][emoji122]Cole muoga sijapata ona[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo unavyojidanganya eeh?Na ili chawamita wamsamehe kesi ataleta picha matata ,story zitabadilika kujadili msabwax badala ya kesi
Asante...wewe uko kwenye wito,pole..Hongera bhana
Yaani baada ya kusababisha kesi hapa kakimbia[emoji23][emoji23]Ndiyo maana anaitwa "kijana mpole" aka Simba mwenda pole. That's my bro...[emoji122][emoji122][emoji122]
Asante[emoji120][emoji120]Asante...wewe uko kwenye wito,pole..
Ni kweli. Linarani dunia. Watu wakubwa wengi walishawahi kuangushwa na chenza. Himaya nyingi zilishaanguka kwa sababu ya chenza. Tumo dhambini leo hii sababu ya chenza. Hata Mugabe aliwahi kusema kuwa kama wanawake wangechimba mkwara wa kutotoa chenza kwa wanaume mpaka kutakapokuwa hakuna vita hapa dunuani, leo hii amani ya dunia ingekuwa imeshapatikana. Chenzaaaaaa.....!!!Jamani jamaniii[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] chenza ni kama lina -rani dunia eeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji39] [emoji39]
Hahahahaa mbavu zangu mieNdo uzuri wa hizi ID,hapa waweza kuta wamuita mtu beibi kumbe ni baba ako ama mjomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshaweka kabisa hapa kwenye rekodi yangu. Mwaka 2007 wakati mi namalizia shahada ya ******* Numbisa alikuwa High School...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha uwiii nimejikamatishaaa bila kupenda
Duh !!!hi I![]()