Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

3d9bfc8e69f251a66f6034e1d1438283.jpg
 
Kisha fikiria faida za kula mlo kamili na bora

kupunguza nafasi ya kupata magonjwa
kujiamini
kuwa productive
kuwa na nguvu na vingine vingi vizuri
 
follow accounts zinazo elimisha kuhusu vyakula bora
anzisha urafiki na watu wenye lengo moja na wewe
jifunze kupika vyakula bora kisasa ili uweze kufurahia mlo wako
 
Anza taratibu

Kosa kubwa ambalo watu wengi wanalifanya ni kutaka kuanza kwa ukubwa na hii si kwenye chakula tu bali hata katika maisha yetu ya kawaida, huwezi kumuachisha mlevi pombe kwa ghafla atateseka anza kwa kupunguza milo fulani taratibu kama punguza kula sukari na chai na anza kunywa chai na sukari,
 
punguza kula viporo au vitumbua badala yake tafuta mikate ya brown etc. kama umezoea kula unhealthy food kwa week nzima jaribu kupunguza ziwe ziku sita au tano taratibu mpaka utakapo zoea kabisa.
 
Gawanya – namna rahisi ya kuacha tabia mbaya ni kuzireplace na zile nzuri, replace unhealthy food na zile healthy food

Kunywa green tea badala ya coffee
maji na fresh juice badala ya soda
 
jifunze mapishi rahisi ya mlo kamili hii itakusaidia kuepukana na kukununua vitu vya madukani au junky food, fanya hii iwe tabia yako. unaweza kutafuta siku mbili au tatu ukapika vyakula vingi na kuvihifadhi kwenye fridge ili pale usikiapo njaa unapasha na kula instead of ya kwenda kununua chips au burger
 
Back
Top Bottom