Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

74b2e0497cbed6a8e10a3bdf8e61a99f.jpg
 
Accessorise – kitu cha kwanza ambacho kina weza kuleta muonekano mpya katika vazi lako ni urembo mfano: hereni, saa, bangili au mkufu. Nunua hivi vitu vya design tofauti tofauti na kila unapo vaa vazi lako ambalo unaona liko plain add kitu kidogo cha kuchangamsha muonekano huo kama saa au mkufu, uta shangaa jinsi a small thing can make a big different
 
hii ina tupa tabu sana katika namna ya kuvaa na mavazi mengine ndio maana huwa tuna vaa tu ali mradi tume vaa, kwa ushauri wetu nguo nzuri kununua ni neutral color kama nude, grey, nyeupe, nyeusi nakadhalika
 
ina kuwa rahisi kuvaa na rangi nyingine kama floral shirts, printed t-shirt au hata neutral on neutral ina pendeza etc hivyo kabati lako liwe na rangi za design hii nyingi kuliko rangi za kuwaka au zenye maua maua ili uwe na uwezo wa kubadilisha na ku style mara nyingi uwezavyo
 
kwetu tuna kushauri ununue nguo ambazo zina weza kuvalika hata kama haipo kwenye trendy wakati huo kuna zile trendy zisizo isha kama jeans inayo kutosha, flats shoes za ballet, maxi skirts nakadhalika hii itakusaidia kuto kuwa na uhitaji wa kununua nguo mara nyingi nyingi bila sababu.
 
Ni kawaida kuona viatu, nguo, style za nywele ziki trend lakini ni mara chache mno kuona accessory zina trend hasa zikiwa zina kuwa repeated kuvaliwa na watu maarufu lakini Gucci ana onekana kuendelea kutu surprise siku hadi siku as brand yake imekuwa ikitoa trend ambazo hatuzitegemei na kwa sasa Gucci Buckle Belts zina onekana kuchukua nafasi yake katika accessory zimeonekana kuvaliwa na watu maarufu na hata fashionista’s.
 
Back
Top Bottom