Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Akhuuu napita tu mieeHata mimi naona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa kwisha habari......
Akhuuu napita tu mieeHata mimi naona [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa kwisha habari......
Huo ni 'mzao mmoja' Leba utarudi Mara ya pili..mimba ya pili ndio tamu!!!!Ukipata hao huzai tena
Halafu upate ke 2 na me 2
Labour unapasahau
Ukipata hao huzai tena
Halafu upate ke 2 na me 2
Labour unapasahau
Ninacho hapa .pdf safi kabisa. Aseme tu nimrushie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiii
Mzee wa masaksafoni waitwa huku
Unataka upande jkutani kama spider?...on Valentine's day....![]()
Leo safi kabisa tumefungwa. Hapa yaani ni full magego tu...Shangwe imuendee Shimba ya Buyenze...jitu la kushiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aseno woyooooooo....
Mimba mimba tuHuo ni 'mzao mmoja' Leba utarudi Mara ya pili..mimba ya pili ndio tamu!!!!
Jiraniii...unapenda sauti za watoto wachanga?Mimba mimba tu
Hao huwezi lea pekeyako hata kwa dawa.Ni kweli kabisa lakini huo mzigo wake acha kabisa. Imagine kama wote wanacharuka kwa wakati mmoja huna msaada wowote uko nao mwenyewe. Unaweza kuangusha mchozi. Nasikia twins tu husumbua sana sasa imagine hao wanne kwa mpigo.
Ndio jiraniJiraniii...unapenda sauti za watoto wachanga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Haki ya Mola wangu,walio tangulia wanakosa mengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shemejiiiii
Mzee wa masaksafoni waitwa huku
Kweli..uwe na wadada wawili wa kusaidiaHao huwezi lea pekeyako hata kwa dawa.
Kuna mama mmoja nilimuona alikuwa anao watatu,anabeba wawili mumewe anabeba mmoja na pochi wanaenda clinic.
Kuwalea ni changamoto kwakweli.
Sawa....Ndio jirani
Hao huwezi lea pekeyako hata kwa dawa.
Kuna mama mmoja nilimuona alikuwa anao watatu,anabeba wawili mumewe anabeba mmoja na pochi wanaenda clinic.
Kuwalea ni changamoto kwakweli.