mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Safi Numbisa naona unakimbiza balaa safi sana unaupa Uzi uhaiHi mzee wa liver
Safi Numbisa naona unakimbiza balaa safi sana unaupa Uzi uhaiHi mzee wa liver
Tunalisukuma mkuu..pamojaGr8 mkuu mambo niaje naona kama kawaida unasukuma gurudumu la likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uchumba suguHatimayeeeeee!uchumba sugu umefikia kikomo
Hebu funguka vizuri huu ubuyu tafadhali
Pamoja sanaMkuu huku ni kwema kabisa. Salamu zao Handeni
Mmepeleka kambi ya Forex Tanga au uko kwenye mishe zako binafsi?Yap namcheki tu
Dodoma fresh lakini nipo TA
Handeni nimefika usiku huu
Yamekuwa hayo
Changamoto kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mzee Jirani ni shida kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ubuyu upo wa zenji nikuleteeHebu funguka vizuri huu ubuyu tafadhali
Duh! Miss Natafuta tayari...
Deal mkuu furusa kila sehemuMmepeleka kambi ya Forex Tanga au uko kwenye mishe zako binafsi?
Hahahahaha ukutaka kumuona labdaDuh! Miss Natafuta tayari...
Bado we Numbisa. Haiwezekani watu tukae wiki Mwanza huonekani kha !!!
NaaaamUbuyu upo wa zenji nikuletee
Sawa kamanda. Wakati ndiyo huu. Cha muhimu uzima tu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Deal mkuu furusa kila sehemu
Unavyomvizia Nbosa ni sawa na mimi nikuviziavyo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Duh! Miss Natafuta tayari...
Bado we Numbisa. Haiwezekani watu tukae wiki Mwanza huonekani kha !!!
Aliuchuna balaa...Hahahahaha ukutaka kumuona labda
Kabisaa ila kama vile kaka kaolewa bana si angeleta harusi huku duhHatimayeeeeee!uchumba sugu umefikia kikomo