BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Hahahahahahaha lol! Na huo uchunguzi sijui huwa wanaufanyia wapi.
Kuna WANAWAKE wengine wanapenda sana kujipa kazi za watu, ukimtongoza utasikia "SUBIRI NIKUCHUNGUZE KWANZA" kwani wewe ni TAKUKURU?*