Kuna WANAWAKE wengine wanapenda sana kujipa kazi za watu, ukimtongoza utasikia "SUBIRI NIKUCHUNGUZE KWANZA" kwani wewe ni TAKUKURU?*
DuWazee wa michepukoView attachment 694027hakuna haja ya kwenda kutupa 22.4m
Kwa kuulizia kwa mashostiHahahahahahaha lol! Na huo uchunguzi sijui huwa wanaufanyia wapi.
Mia mia[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818]
Baki njia kuuMichepuko siyo dili....!!!
Mchina mchina
Kwa kuulizia kwa mashosti
Sanchez hahahaaa[emoji23][emoji23][emoji23]...Sawa bhana! Huyo Mourinho nae, wewe unampiga benchi Progba; sasa sijui nani achezeshe timu! [emoji1][emoji1]
Ndio hivyo sasa. Akili kumkichwa tatizo wengi hawazitumii akili hizoNdiyo ukute mashosti wake wote hawakujui, basi wanaanza uzushi ili wamuharibie mwenzao.
Kwa niniAkh huu uzi bora ufutwe tu
Ametisha kinomaho chi minh, wiki hii umefunga kazi kwa misambwanda, duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha ndio mpira[emoji23][emoji23][emoji23]...Sawa bhana! Huyo Mourinho nae, wewe unampiga benchi Pogba; sasa sijui nani achezeshe timu! [emoji1][emoji1]
HahahahahaQUESTION
If Bournemouth beat Chelsea 3-0 and Watford beat Chelsea 4-1, Assuming momentum before collision = momentum after collision and forces applied to a rigid body all act in the same plane, calculate the number of goals Barcelona will score against Chelsea. (Take g=9.8m/s2)
SOLUTION
Given that g= 9.8m/s^2...{ let Chelsea be denoted as C, Bournemouth be denoted as B, and Watford is denoted by W}
3B+ 0C = 3......Eqn 1
4W + (-1) = 3...Eqn 2
The cumulative goal conceded is {3+3 =6}
Let cumulative be denoted as "a"
Therefore, if Barca denoted as Br
Squad strength of barca = a+1
Messi probability to score = a+1+1
Chelsea being a team of dog turds = a+1+1+1
Note a=6
Therefore, a+3 =6+3=9
9 goals.
Gunners mpoYaani Wenger hata kama atapewa samaki awafundishe kuogelea basi hao samaki nao watazama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*wadada wengi hawapokei video call ikifika saa 3 usiku.. unajua kwa nini? Sura zao zinakuwa zimerudi kwenye factory setting.*
ho chi minh, wiki hii umefunga kazi kwa misambwanda, duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna namnaTupo Mkuu ni aje kwani? Babu MUST GO!
Tupo Mkuu ni aje kwani? Babu MUST GO!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yupo ila kabanwa na majukumu. Halafu inaonekana alichokuwa anakitafuta keshakipata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]