Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hata kama una hela vitu vya asili ni vizuri zaidi na vina manufaa mengi zaidi basi na hivi ni vichache vinavyo weza kusaidia ukuaji wa nywele zako, vipo tu jikoni mwako labda hukuwa unajua basi ngoja tuku habarishe
 
Juice ya kitunguu -Kitunguu kina sulphur ambayo husaidia ku ongeza ufanisi wa tissue ambazo zinaweza kusaidia ukuaji wa nywele zako, kata kipande cha kitunguu paka katika ngozi ya kichwa chako kaa nayo kwa dakika 15, kisha osha na shampoo
 
mask ya yai- yai (mayai) yana sifika kuwa na protein nyingi ambazo zina weza kusaidia ukuaji wa nywele, namna ya kufanya ni rahisi tenganisha ute wa yai na kiiti cha yai kisha ule ute ongezea na kijiko cha chai cha mafuta ya oilve oil na asali, changanya mchanganyiko wako vizuri kisha paka katika ngozi ya kichwa chako kaa nayo kwa muda wa dakika 20, osha kwa maji ya baridi na shampoo kuondoa harufu.
 
Olive oil -kukuza na kuzipa nywele zako unyevu olive oil are the best, weka nusu kikombe ya mafuta ya olive oil kisha yapashe moto na uyaache ya poe yasiwe ya moto sana walabaridi yawe ya uvugu vugu. Paka na lowesha nywele zako kwa mafuta hayo vaa mfuko wa plastick kaa nao kwa muda wa lisaa limoja kisha osha na shampoo.
 
Baking soda: chukua vijiko vwili vya baking soda na dilute na vikombe vitatu vya maji, baada ya kuosha nywele zako na shampoo kabla ya ku conditioner osha na maji ya baking soda, kisha endelea na kufanya conditioner.
 
green Tea: Green tea ina saidia ku boost ukuaji wa nywele pia kupunguza ukatikaji wa nywele, green tea ina sifika kuwa tajiri wa antioxidant ambayo inasaidia kukuza nywele zako efficiently, paka maji ya uvuguvugu green tea kwenye ngozi ya kichwa chako kaa nayo kwa lisaa limoja kisha osha.
 
Apple Cider Vinegar: apple cider vinegar ina saidia vitu vingi kuanzia nywele, ngozi hadi kupunguza uzito lakini kwa leo tunaongelea nywele unacho takiwa kufanya ni, dilute apple cider vinegar yako kwa kumix 15ml ya apple cider vinegar na vikombe viwili vya maji, shake it well kisha baada ya kuosha nywele zako na shampoo na conditioner osha na maji ya apple sider vinager
 
Tui la nazi – tui la nazi lina sifika kwa kuwa na madini ya chuma,potassium na fat kwa wingi, ni nzuri kwa ukuaji wa nywele unacho takiwa kufanya ni kupata tui la nazi na kipande cha limao changanya pamoja kisha paka katika ngozi ya kichwa chako, iache kwa muda wa masaa ma 4-5 kisha osha
 
Hii yaweza kuwa imewakumba wengi ambapo waweza kutana na mtu katika usafiri yaani daladala ama kwenye sherehe ama tukio lolote na kushangwaza na harufu ya manukato atumiayo maana baadhi yetu tumekuwa ni wanunuzi wa perfumes zisizoeleweka na kuwa na harufu
kali sana hata kuwakosesha raha wenzetu.
 
wakaka huwa ni shida sana kuwa na kabati lenye nguo na accessories sahihi hivyo kujikuta mtu kuvaa nguo zisizovutiana pia kauka nikuvae kama ilivyozoeleka kwa baadhi ya wanaume. Ila sasa leo tunakuletea zile essentials ambazo wanaume ama brothermens out there mnaweza kujifunza ili kuweza kuonekana mtanashati na mwenye upekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…