Then tuje kwenye accessories kwa wanaume. Hapa wengi hukosea na kuvaa vitu vingi mkononi hadi kuleta karaha. Maana mara cultures za rangi nyingi zisizovutia ila simplicity is the key. So saa nzuri na bracelets simple za kiume zafaa na zinaweza kuendana na occasion yoyote.
saa ziwe za both silver gold na leather.bracelets zinaweza kuwa kama za uru ama suave jewelry
Pia katika haya chaguo la rangi ni muhimu huku nyeupena nyeusi ikiwa ni a must. Rangi nzuri ambazo
zawapendeza wakaka wengi ni brown,blue, red etc.