Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hatutegemei kwamba kuna vitabu vitakavyotunza katika maktaba hiyo ambavyo vitakaa kwa miaka kadhaa kama mapambo bila kupekuliwa, ikiwa hivyo malengo ya kujengwa kwake hayatakuwa yamekidhiwa kama ilivyokusudiwa.
 
Wakati tukiwashajiisha wanafunzi wa UDSM kuitumia kikamilifu maktaba hiyo kujiongezea maarifa, tunatoa wito kwa jamii kuanza utamaduni wa kujisomea masuala chanya ambayo yanaweza kubadili aina na mifumo duni ya maisha inayowazunguka na kuwa bora zaidi.
 
Suala la kujisomea lisiachwe kwa wanafunzi na kada fulani ya watu pekee, la hasha. Kila mtu kwa ujuzi na weledi wake, anayo fursa ya kujiongezea maarifa na hiyo ndiyo tofauti yetu na viumbe wengine walioumbwa na Mwenyezi Mungu katika ulimwengu huu
 
Katika taarifa ya NEC iliyotolewa leo Februari 11,2018 Kailima amepongeza jitihada zinazofanywa na msimamizi wa uchaguzi na wasaidizi wake katika kuhakikisha changamoto zinazojitokeza zinapatiwa ufumbuzi wa haraka.

Amewashauri wasimamizi wa uchaguzi kuendelea kukutana na wawakilishi wa vyama vya siasa kwa ajili ya kutoa taarifa katika kila hatua
 
Kailima amesema Tume imejipanga kuanza kutoa vipindi vya elimu ya mpiga kura mfululizo hadi siku ya uchaguzi.

Amesema elimu itahusu mada kadhaa zikiwemo haki na wajibu wa mpiga kura, wakala wa vyama vya siasa na msimamizi wa uchaguzi pamoja na taratibu zote za upigaji kura.
 
Wiki nzima kabisa bila kushusha matirio yako hapa JF? Unakwenda wapi? Kwa wiki nzima aisee idadi ya likes jiamulie mwenyewe. Ukishinda nakumwagia usiposhinda unanipa...Niko tayari !!!
Golden likes 5(five likes) tu

Nnapokwenda sipajui ila ntarudi salama kabisa. Hope ntafanikiwa kwa mafanikio makubwa.

Must nishinde ntaweka status wazi. Na wala sitachungulia JF as guest.
 
50ee58262addd05492aa686de7f7d2d5.jpg
Duh
 
Wigi huvaliwa zaidi na kinamama wenye asili ya Afrika au Wamarekani wa asili ya Afrika. Lakini tukiangalia moja ya chimbuko hasa la uvaaji wigi ni ubaguzi uliokuwepo wakati wa utumwa ambapo wale wenye ngozi nyeupe na nywele shombeshombe walipewa kazi za ndani na wale wasio na ngozi nyeupe na nywele zisizo shombeshombe walifanyishwa kazi ngumu za mashambani.
 
Back
Top Bottom