Ndipo nilipo njoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alhamisi ya jupiter eeh?
Hujambo?shkamoo
Mdumii nakuenengye mbora nakuringye. Mdumii naware kyam kyakye wuye yapfo nakusarie. Mndimii nairie kyaam kyakye wuye yapfo nakuenengye uforo. Rinenyi iya Ruwa Awu na Mana na Mumuyo Mweele
MAMA TANZANIA
Nakuja aiseh!Ndipo nilipo njoo.
Sijambo Ila hiyo salam yako ya kuninyima kitu kwenda hilo.
We kwani hujui mwezi Wa malavidavi huu.Nakuja aiseh!
Unataka nikwambie Mambo mpenzi?[emoji7][emoji7]
Nipo boss wangu aje aje lakiniKichwa kichafu upo kweli
Huyo mzee tapeli sana hapa mjini amepigwa mvua nyingi kwa utapeli wakeHo chi Minh upo kama kawaida rafiki yako kichwa kichafu yuko wapi
Ndugu yangu umetoroka jelaNipo mkuu,
Rafiki yangu kafungwa kwa kula pesa za chama cha ushirika.