Hata hivyo, Serikali isiishie kulipa malimbikizo au kupandisha madaraja pekee, lazima iendelee kuwatazama walimu kwa jicho karibu kama kada muhimu ya utumishi wa umma na mhimili wa maendeleo ya Taifa letu.
Wafukuzaji naona wamezira au nao wamejichokea. Nilikuwa nasubiri hata wewe unifukuze lakini kimyaa. Ngoja nipambane na hali yangu...Hahahhaha leo umejikumbusha mwenyewe kulala bila kufukuzwa awesome
Hatuna budi kukubali kuwa kiuhalisia katika shule nyingi, uwajibikaji wa walimu sio wa kuridhisha na ndio kwa kiwango kikubwa unaochangia kuporomoka kwa kiwango cha kujifunza na mwishowe elimu yetu kwa jumla.
Weuweee nikufukuze halafu nani atanipa lilikes bora ukeshe tu hahahahhaaWafukuzaji naona wamezira au nao wamejichokea. Nilikuwa nasubiri hata wewe unifukuze lakini kimyaa. Ngoja nipambane na hali yangu...
Kuna uzi huko wamemkorofisha akawajibuSijui amekorofisha nini...