Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.
Sijui amekorofisha nini...Pole kwa kibano Demiss