Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba rejea yako , ni kitabu kipi cha afya ulichofanya rejea ili nami nikajiridhishe kwa kusoma hapo panaposema tuoge maji baridi. Maana ninavyofahamu mm ni kuwa maji ya kyoga yanafaa yawe na uvuguvugu kwa sababu yakurekebisha joto la mwili , baridi au moto si muafaka3. Oga maji ya baridi
Kuoga maji ya baridi inasaidia kuimarisha afya ya mwili na akili. Ukifanya hivi mara kwa mara, inaleta mabadiliko ya kudumu kwenye mfumo wa kinga ya mwili, mfumo wa damu na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – jambo linaloboresha maisha yako.
Ni sababu ipi itayoufanya moyo kwenda mbio sayansi inasemajeUnaweza kujikuta umesimama na kuamua kutooga kabisa kwa sababu hiyo. Lakini ukijimwagia maji ya baridi moja kwa moja, moyo utaanza kwenda mbio kwanza lakini baada ya sekunde kama 20 hivi utakuwa sawa.