Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi wetu hudhani kuonekana stylish ni kununua au kuvaa vitu vya gharama kubwa mara nyingi tumesha wahi kukutana na msemo huu “ana hela kwanini asipendeze” au “siwezi kupendeza vile nina hela gani mpaka nipendeze”? tuna weza kusema your so wrong by saying that. Kupendeza au kuwa stylish si kutumia gharama bali ni ku-style icho kidogo ulicho nacho kwa namna nyingi tofauti tofauti bila ya kuchosha.
 
Accessorise – kitu cha kwanza ambacho kina weza kuleta muonekano mpya katika vazi lako ni urembo mfano: hereni, saa, bangili au mkufu. Nunua hivi vitu vya design tofauti tofauti na kila unapo vaa vazi lako ambalo unaona liko plain add kitu kidogo cha kuchangamsha muonekano huo kama saa au mkufu, uta shangaa jinsi a small thing can make a big different
 
Uchaguzi wa rangi – wengi wetu ambao tuna sema hatuna hela tuna nunua mavazi ya mitumba (2nd hand) lakini si watu wa kuchagua rangi. mara nyingi tuna enda katika masoko ya mitumba bila ya kuwa na plan chochote tutakacho kiona kime tuvutia mbele ya macho yetu tuna nunua tu,
 
hii ina tupa tabu sana katika namna ya kuvaa na mavazi mengine ndio maana huwa tuna vaa tu ali mradi tume vaa, kwa ushauri wetu nguo nzuri kununua ni neutral color kama nude, grey, nyeupe, nyeusi nakadhalika
 
ina kuwa rahisi kuvaa na rangi nyingine kama floral shirts, printed t-shirt au hata neutral on neutral ina pendeza etc hivyo kabati lako liwe na rangi za design hii nyingi kuliko rangi za kuwaka au zenye maua maua ili uwe na uwezo wa kubadilisha na ku style mara nyingi uwezavyo
 
Invest katika mavazi unayo weza kuvaa mara mbili mbili – usinunue kitu kwa sababu tu kipo kwenye trendy, vipi kama trend ikiisha una weza kukivaa tena? kwetu tuna kushauri ununue nguo ambazo zina weza kuvalika hata kama haipo kwenye trendy wakati huo kuna zile trendy zisizo isha kama jeans inayo kutosha, flats shoes za ballet, maxi skirts nakadhalika hii itakusaidia kuto kuwa na uhitaji wa kununua nguo mara nyingi nyingi bila sababu.
 
Invest katika mavazi unayo weza kuvaa mara mbili mbili – usinunue kitu kwa sababu tu kipo kwenye trendy, vipi kama trend ikiisha una weza kukivaa tena? kwetu tuna kushauri ununue nguo ambazo zina weza kuvalika hata kama haipo kwenye trendy wakati huo kuna zile trendy zisizo isha kama jeans inayo kutosha, flats shoes za ballet, maxi skirts nakadhalika hii itakusaidia kuto kuwa na uhitaji wa kununua nguo mara nyingi nyingi bila sababu.
 
Accessorise – kitu cha kwanza ambacho kina weza kuleta muonekano mpya katika vazi lako ni urembo mfano: hereni, saa, bangili au mkufu. Nunua hivi vitu vya design tofauti tofauti na kila unapo vaa vazi lako ambalo unaona liko plain add kitu kidogo cha kuchangamsha muonekano huo kama saa au mkufu, uta shangaa jinsi a small thing can make a big different
 
Only girls with flat tummies will be given valentine's gift ..nyinyi wengine mnapelekwa deworming ..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I wanna live and die in africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
By the way Guys. Not that i cannot afford a private jet[emoji39][emoji39]
Only that those who sell don't have the kind of colour that i want.. A Brownish grey melanin yellow cochroach type[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
*WAZO LA JANA*
Hata uwe na haraka gani,tako lazma libakie nyuma.
*WAZO LA LEO*
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.☠[emoji88]
*WAZO LA KESHO*
Mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.[emoji26][emoji26]
*WAZO LA KESHO KUTWA*
Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe.[emoji123][emoji123]
*WAZO LA MWAKA HUU*
Bila pesa Wanawake wazuri utabaki kuwaita shemeji[emoji136][emoji142]
[emoji23][emoji23][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom